MSANII ‘MIRIAM ROBERT’ ADAIWA KUKIMBIA KWAO, SASA ANAISHI NA MUME WA MTUWAKATI taarifa za juu juu kuhusu msanii wa filamu bongo Miriam Robert, aliyekimbia kwao zikileta utata wapi alipo, mwandishi wetu amenasa taarifa hizo ambapo inadaiwa kuwa msanii huyo ameolewa na ndoa hiyo haitambuliki na ndugu yeyote hivyo baadhi ya ndugu na rafiki wanaamini kuwa atakuwa anaishi na mume wa mtu.


Taarifa za awali ambazo zilifika mezani mwa mtandao huu zilidai kuwa awali msanii huyo alikuwa akiishi kwao lakini alikuja kuondoka kwa utata bila mtu yeyote kujua, huku akiwapa wakati mgumu wazazi wake ambao hadi walifikia hatua ya kutaka kutoa taarifa polisi.Baada ya mtandao huu kufanya uchunguzi kwa kuzungumza na baadhi ya rafiki zake wa karibu, ambapo hata hivyo hawakutaka majina yao yatajwe walidai, Miriam anaishi hapa hapa Dar na yupo na mume wa mtu.Rafiki hao walidai kuwa hata hivyo kitendo cha kuishi na mume wa mtu kinaweza kumletea madhara makubwa na waliomba ni bora arudi nyumbani ili aweze kuwatuliza wazazi ambao hadi sasa bado hawana mawasiliano naye.“Sisi ni rafiki zake na hatuna habari kwamba ameolewa bali tunavyojua ni kwamba lazima atakuwa anaishi na mtu, kama ndoa ingejulikana mbona wazazi wake hawajui kama kaolewa tena alipotoka kwao hakuna mtu aliyejua, anaishi na mume wa mtu,” walisema.


Hata hivyo mwandishi wa habari hizi, alipojaribu kupiga simu yake ilipatikana, na alipoulizwa juu ya ishu hiyo alidai kuwa ni kweli ameolewa na anaishi na mtu na suala la watu kudai wamechukuana kimya kimya haliwahusu.“Naishi mume wangu kwani hao wanaosema nimetoroka nyumbani inawahusu nini nafanya kile roho yangu inataka wao nao wana maisha yao kwanza hata wao wanatembea na waume za watu mbona hatusemi,” alidai Miriam.
Related Posts Widget For Blogger with ThumbnailsBlogger Templates

SEHEMU YA NNE YA TAMTHILIA YA "SIRI YA MTUNGI"


Fikra pekee inayomsumbua Kizito ni jinsi atakavyoweza kumwoa Nusura, binti mrembo wa mmiliki wa mabanda, Masharubu. Mjomba Mawazo ana wakati mgumu wa kujadiliana na Masharubu mwenye tamaa ambaye yuko tayari kumwozesha binti yake kwa mahari kubwa mno.

Cheche bado inamuwia vigumu kuweka uwiano kati ya biashara yake na familia, na muda wa Cheusi unapotezwa kwa kuwaangalia watoto wake wawili watundu na mimba yake. Cheche anapata faraja kwa Tula kwenye Kigrosari chake, huku baadae studio yake 'ikisambaratishwa' na shangingi linalojiita Lulu linapovamia toka kusikojulikana na kudai apatiwe huduma!

"SIDHANI KAMA USHIRIKINA UNAFAIDA KATIKA MUZIKI"...POMMY DIMPOZZ


Baada ya taarifa kuenea katika mitandao kuhusu Diamond anatumia mganga wa jadi katika kazi zake za muziki....
 
Leo kupitia Clouds Fm double XXL katika jiwe la wiki rafiki yake wa karibu 'Ommy Dimpoz' aliweza kusema kwa upande wake hadhani kama vitu vya ushirikina vinaleta faida katika upande wa muziki na wala hajawahi kujihusisha navyo maishani mwake.


Swali:Mara ya mwisho baada ya kukutana na Diamond Platinum hamjawahi kuzungumzia mambo ya ushirikina"Kusema kweli mara mwisho nakumbuka nilikutana naye na tukazungumzia kuhusu show yangu lakini mambo mengi hatujazungumza.Ommy Dimpoz alisema


ANGALIZO: Akaunti ya Hemedy ya Facebook aliyoandika Freemason wamemshawishi ajiunge ni ‘FAKE’


Muimbaji wa R&B na muigizaji wa filamu nchini Hemedy Suleiman aka PHD (Pretty Huge Dude) amewatahadharisha mashabiki wake kuwa kuna akaunti fake ya Facebook ya jina lake ambayo imekuwa ikiandika mambo ya kipuuzi.
Hivi karibuni mtu huyo anayetumia jina la Hemedy aliandika:

“Mkubwa wa freemason ananishawishi nijiunge katka chama hicho ila nimemuombea dua Mungu amlani ishallah“na hakika mwenye kujiunga na chama hicho mwisho wake ni kufa napia huenda motoni.”

Post hiyo imeifanya mitandao kadhaa nchini kuamini maneno hayo yameandikwa na Hemedy ambapo baada ya Mwandishi  kumuuliza Hemedy juu ya hicho alichokiandika, alisema, ” Sio mimi, kuna account fake ya hemedy anaandika ujingaa….f*ck dat nigga, I dont believe in freemason shit..ALLAH ANANILINDA.”

Miongoni mwa website iliyoandika habari kufuatia post hiyo ni Kenya Daily Post ya nchini Kenya ambayo leo imeandika habari yenye kichwa cha habari, “Former TPF contestant HEMEDI ….FREEMASON wants him to sell his SOUL to the DEVIL”.

“He came to Kenya with the aim of clinching the top prize at Tusker Project Fame academy and although he did not win the prize money, he left all his fans thrilled by his drama more than his music; Tanzania’s Hemedi Suleiman is however not living in peace.

Since his departure from the academy, the star has been gracing the music industry and the film industry in the whole of East Africa. He is now what people would call one of TPF’s success stories. With his fame however secret societies have been trailing him begging him to join them.

Hemedi has declined the many offers from Freemason and said he would rather pray for them.”

Kwenda kwenye ukurasa huo fake wenye jina la Hemedy bonyeza hapa: http://www.facebook.com/hemedy.suleiman.7

HIVI NDIVYO MATUMAINI ALIVYOPOKELEWA JIJINI DAR   Matumaini (katikati) akisaidiwa na wasanii wenzake muda mfupi baada ya kutua.

    Bi. Mwenda akiwa amembeba Matumaini mgongoni.

    Matumaini (kulia) akiwa na Bi. Mwenda (wa pili kushoto) na anayefuata (kushoto) ni msanii mwenzake Kiwewe wakisubiri gari la kumpeleka hospitali.

    Askari wakiwaelekeza wasanii kukaa upande mmoja ili apate hewa.

    Matumaini akiwa amebebwa mgongoni na msanii mwenzake, Mariam Athuman ‘Kalunde’ akimpeleka kwenye gari.

   Mama mkubwa wa Matumaini, Bi. Elizabeth (kushoto) na Matumaini (katikati) wakiwa ndani ya gari tayari kuelekea hospitali ya Amana.

    Rais wa Shirikisho la Filamu nchini (TAFF), Simon Mwakifwamba akizungumza na wasanii maeneo ya Amana wakati Matumaini akiwa kwa daktari.
-----------
MSANII wa vichekesho ambaye alikuwa nchini Msumbiji, Tumaini Mwakibibi ‘Matumaini’ jana alipokelewa na wasanii wenzake kibao baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar akiwa hoi kutokana na kusumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.

Matumaini alitua uwanjani hapo jana majira ya saa 9:30 alasiri ambapo kutokana na hali yake kuwa mbaya wasanii walimbeba mgongoni na kumfikisha kwenye gari ambapo walimpeleka moja kwa moja hospitali ya Amana alikolazwa mpaka sasa akiendelea kupatiwa matibabu.


credit:  Global

TRUE LOVE: RIHANNA ACCOMPANIES CHRIS BROWN TO COURT HEARING


Rihanna accompanied her man Chris Brown to his court hearing yesterday Wednesday February 6th. 

Chris Brown's ongoing probation case stems from assaulting Rihanna in 2009. 

Yesterday was his progress report hearing, where he faced allegations that he lied about completing his community service. 

Rihanna blew Chris a kiss before the proceedings got underway and left arm in arm with him after the hearing......PICHA YA MTOTO WA SHAKIRA KWA FANS WAKE .....


This is cute!!!! 

Shakira and her husband Gerald Pique welcomed a baby boy some weeks ago and they named him Milan Pique!

DENTI WA CHUO KIKUU AAMUA KUJISAIDIA NDANI YA HOSTELI...


Hey you! You know yourself, you know your doing it....

This lady is a female student in one of the leading Universities and her friends snapped her excreting in a bucket in her room.

She's very popular in the university and when she was asked her reason for doing it she plainly stated that her hall was overcrowded.

''I decided to sh*t in my room due to the population of students in the hostel, the number of toilets here is small compared to the number of students residing here. The number of people ‘pirating’ is more than those who even paid for rooms''

Arusha: Polisi wakamata magunia mengine 97 ya bangiKamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi, Liberatus Sabas akiwaonyesha waandishi wa habari madawa ya kulevya aina ya bangi ambayo yalikuwa kwenye magunia 97 yaliyokamatwa na askari wa jeshi hilo katika eneo la Usa River wilayani Arumeru.
Taarifa na Na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha

Jeshi la Polisi mkoani hapa limemkamata mtu mmoja akiwa na magunia 97 ya madawa ya kulevya aina ya bangi ambayo yalikuwa yanasafirishwa toka mkoani hapa kuelekea Moshi. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi Liberatus Sabas amesema kwamba, tukio hilo lilitokea muda wa saa 10:00 alfajiri eneo la Usa River wilayani Arumeru.

Alisema mafanikio hayo yametokana na ushirikiano mzuri kati ya jeshi hilo na wananchi ambapo taarifa za tukio hilo zilitolewa na raia wema ambapo askari wa jeshi hilo waliweka mtego eneo hilo na kufanikiwa kulikamata gari aina ya Fuso lenye namba za usajili T. 282 AAJ.

Kamanda Sabas aliongeza kwa kusema kwamba, ndani ya bodi ya gari hilo kulikuwa na mboga aina ya kabeji iliyosambazwa vizuri huku chini ya mboga hiyo kukiwa na madawa hayo yaliyokuwa kwenye magunia huku yakivingirishwa kwenye mifuko ya “plastiki” kwa ndani.

Alisema katika gari hilo kulikuwa na watu watatu na mara baada ya askari hao kulisimamisha dereva pamoja na msaidizi wake walifanikiwa kukimbia huku mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Praygod Marick (22) Mkazi wa Dar esalaam akikamatwa.

Jeshi la polisi Mkoani hapa linaendelea kumhoji mtuhumiwa huyo huku watuhumiwa wengine wakiendelea kutafutwa. Kwa mara nyingine tena Kamanda huyo aliendelea kuwashukuru wananchi wa Mkoa huu kutokana na ushirikiano wao mkubwa wanaoutoa kwa jeshi hilo na kuendelea kuwasisitizia kuimarisha mahusiano na jeshi hilo.

Kwa muda wa kipindi cha mwezi mmoja toka januari 07, 2013 mpaka hivi leo jeshi hilo limeshakamata madawa ya kulevya aina ya mirungi magunia 372 katika magari mawili tofauti na pia limeshakamata jumla ya magunia 117 ya madawa ya kulevya aina ya bangi ambapo mwanzoni mwa wiki hii jumla ya magunia 20 yalikamatwa yakiwa yanasafirishwa kwa kutumia wanyama aina ya Punda maeneo ya Losoiti wilayani Longido.

MEET THE AMERICA'S YOUNGEST FEMALE BILLONAIRELunchtime at the flagship In-N-Out Burger restaurant in Baldwin Park, California, is a study in efficiency. As the order line swells, smiling workers swoop in to operate empty cash registers. Another staffer cleans tables, asking customers if they’re enjoying their hamburger. Outside, a woman armed with a hand-held ordering machine speeds up the drive-through line.

Such service has helped In-N-Out create a rabid fan base — and make Lynsi Torres, the chain’s 30-year-old owner and president, one of the youngest female billionaires on Earth. 

New store openings often resemble product releases from Apple Inc., with customers lined up hours in advance. City officials plead with the Irvine, California-based company to open restaurants in their municipalities.

“They have done a fantastic job of building and maintaining a kind of cult following,” said Bob Goldin, executive vice president of Chicago-based food industry research firm Technomic Inc. “Someone would love to buy them.”

That someone includes billionaire investor Warren Buffett, who told a group of visiting business students in 2005 that he’d like to own the chain, according to an account of the meeting on the UCLA Anderson School of Management website.

The thrice-married Torres has watched her family expand In-N-Out from a single drive-through hamburger stand founded in 1948 in Baldwin Park by her grandparents, Harry and Esther Snyder, into a fast-food empire worth more than US$1-billion, according to the Bloomberg Billionaires Index.
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. MPEKUZI BLOG - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger